Msaada wana jukwaa

Msaada wana jukwaa

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
3,782
Reaction score
2,414
Ninaomba translation ya sentensi hii kwa lugha ya kiswahili fasaha:
New Solutions to Challenges of Medical Care in Tanzania
 
measkron

Njia mpya za kutatua changamoto katika huduma za kitabibu Tanzania.

AU
Mbinu mpya za kutatua changamoto zinazokabili utoaji wa huduma za Kitabibu Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Gurta, hii inanifaa kabisa
 
Last edited by a moderator:
measkron

Njia mpya za kutatua changamoto katika huduma za kitabibu Tanzania.

AU
Mbinu mpya za kutatua changamoto zinazokabili utoaji wa huduma za Kitabibu Tanzania

Umemaliza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom