MSAADA WANAJAMII WENZANGU

MSAADA WANAJAMII WENZANGU

KING LOVE

New Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
3
Reaction score
1
EWE ndugu nakuomba Husika na kichwa chahabari hapo juu,lengo na dhumuni nikitaka ujuzi na maarifa mapana juu ya biashara ya VIFAA vya sora na umeme.MAWAZO YAKO NDOKUFANIKIWA KWETU
 
  • Thanks
Reactions: 511
Una mtaji wa bei gani halafu location pia saiz kuna mazingira biashara za solar haziendi
 
Back
Top Bottom