Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Habari za asubuhi
Tangu nihamie mkoa na ninajishughulisha na kabiashara fulani hivi me sio mkubwa kivile nina kama miaka 41-22. Sasa nimekuwa nikiishi nyumba fulani hivi na kuna mama ana kama 25 amekuwa ni kikwazo kwangu kwani kaolewa na ana mtoto m1
Nimekuwa simwelewi coz me ni wale watu ambao ni wakimya sana nikimsalimu tu naenda zangu ndani coz nkikaa pale nje tu mitego mingi na pia kuna wadada nao wananitega sana na mimi sitaki kufanya ujinga kwani nataka kutimiza malengo yangu ambayo hata robo sijayafikia.
Uzi tayari msada kwa me mdogo wenu