😄😄 nikajua 42anatimiza mwaka huu 2022 (22)Maake hapo kwanza nche......
Una miaka kama 41-22🙁sasa si useme tu ili watu wajue kama wakuite dogo au mkuu
Acha vurugu.dogo acha mterezo umeandk umri kinyumenyume kukwepa madongo ya umario
mke wa mtu sumu
sawa mkuu tupo pamojaKaza mwanaume ila gari ikiipata pancha izibe afu endelea na safari
I stand with you
Ila sio kwenye
Mbususu Enthusiast
kwahyo unataka hao wadada wavae magunia ndani kiasi wakiinama kufua ajue ni mti umekatwa👽 hakuna binadamu.Acha vurugu.
Achana nae fanya yako..kwahyo unataka hao wadada wavae magunia ndani kiasi wakiinama kufua ajue ni mti umekatwa👽 hakuna binadamu.
akili ya kuwaza anategwa anaitoa wapi km sio kujihsi?
hebu sikia nikitoka nje tu kuna katabia kama alikua nje lazma afungue khanga aliyojifunga na kujifanya anaifunga tena af huku akiniangalia mara ck nyingne nimerud zangu hm kaacha dirisha wazi kiasi af akawa kajifunga hy khanga yake kaipandisha juu huku akikatika na akiangalia upande nliopo mkuu umeelewa au bado? Nijue niache au niendelee kukuelewesha mana unajifanya huelewi hv..kwahyo unataka hao wadada wavae magunia ndani kiasi wakiinama kufua ajue ni mti umekatwa👽 hakuna binadamu.
akili ya kuwaza anategwa anaitoa wapi km sio kujihsi?
Mmmh mpaka malengo yatimie 1st🤣🤣🤣🤣🤣 hivi kwanini wanaume wa siku hizi wanaogopa mitego?
Nyani mzee kakwepa mishale mingi.
Mkuu angalia usijekua unakwepa punani alaf unaenda kupiga nyeto.
Ni kama kuuza bunduki na kununua rungu.
Amka kijana! Chakata huyo singo maza ukimaliza chakata hao mabinti wote waliopo.
Ukifanya hvo wataishia kugombana wao kwa wao af we utabaki na malengo yako.
Habari za asubuhi
Tangu nihamie mkoa na ninajishughulisha na kabiashara fulani hivi me sio mkubwa kivile nina kama miaka 41-22. Sasa nimekuwa nikiishi nyumba fulani hivi na kuna mama ana kama 25 amekuwa ni kikwazo kwangu kwani kaolewa na ana mtoto m1
Nimekuwa simwelewi coz me ni wale watu ambao ni wakimya sana nikimsalimu tu naenda zangu ndani coz nkikaa pale nje tu mitego mingi na pia kuna wadada nao wananitega sana na mimi sitaki kufanya ujinga kwani nataka kutimiza malengo yangu ambayo hata robo sijayafikia.
Uzi tayari msada kwa me mdogo wenu