Msaada wanaJF jinsi ya kuepuka vishawishi

Waombe namba zao unirushie PM
 
Tangu nihamie mkoa na ninajishughulisha na kabiashara fulani hivi me sio mkubwa kivile nina kama miaka 41-22. Sasa nimekuwa nikiishi nyumba fulani hivi na kuna mama ana kama 25 amekuwa ni kikwazo kwangu kwani kaolewa na ana mtoto m1

Mkuu wewe ni mkubwa... hio kivileeee achana nayo.

Yafaa nini braza wa miaka 40 kutegwa na binti wa miaka 25 halafu unashindwa ku handle the situation.?

Mtu wa umri wako hutakiwi kuepuka vishawishi, unatakiwa kuvishinda vishawishi.

Face the Challenge
 
Pole sana, mambo yake muachie mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…