ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Tafuta dawa ulisafishe hilo tumbo lako mkuu, sijui dawa, ila nadhani inabidi uliflash lote
Bulldog,naomba unisaidie namna ya kuflash tumbo maana sijawahi kusikia hiyo tiba.Kwa jinsi ninavyohangaika niko tayari siyo tu kuflash bali hata kulifua tumbo lote kama kweli hiyo itakuwa ndiyo tiba.
Pole Sana na mimi pia ninakuambia uorodheshe vyakula unavyo kula huenda unakula vyakula vingi vyenye Asidi vinavyokuletea matatizo ya Tumbo lako kuchefuka tuletee maelezo ya vyakula unavyo kula.Hivi huu ni ugonjwa gani,maana leo naweza kuwa okay lakini kesho kwa chakula hichohicho nikaharisha vibaya.Madaktari wanadai niorodheshe vyakula vyote vinavyonisumbua na kuviepuka kwani hawaoni ugonjwa,tatizo laweza kuwa nini?
Vipi ndugu hujambo?Mimi si mtaalamu wa madawa ila nadhani ukienda hospital unaomba wakupe dawa ya kusafisha tumbo lote, au MziziMkavu anaweza kutusaidia
Pole Sana na mimi pia ninakuambia uorodheshe vyakula unavyo kula huenda unakula vyakula vingi vyenye Asidi vinavyokuletea matatizo ya Tumbo lako kuchefuka tuletee maelezo ya vyakula unavyo kula.
Vipi ndugu hujambo?
Usicheze na sikio nenda Hospitali kusafisha masikio yako utapona inshallah.Sijambo mkuu, saidia ndugu.
Halafu nina shida ya sikio, sijui uchafu umeziba? Nasikia kwa mbali sana.
Naomba dawa ya kuyazibua.
sasa madaktari hawaoni ugonjwa unaomsumbua wewe unasema ni minyoo ndio inamsumbua inamaana unao uwezo wa kumpima mtu kwa internet au?Minyoo tu inakusumbua mkuu.
Usicheze na sikio nenda Hospitali kusafisha masikio yako utapona inshallah.
Tatizo linaweza kuwa ni food intolerance ambayo inaweza sababishwa na sababu kadhaa kuna kitu wanaita IBS hiyo huwa inaangaliwa kwa dalili tu haipimwi na haijulikani chanzo chake ni kipi
ni type ya digestive disorder, mara nyingi wanatibu dalili tu, labda ujaribu ku orodhesha ni vyakula vipi vinakusumbua kwanza...
Vipi kuhusiana na maziwa fresh, kahawa, chai, Alcohol havikupi shida hivyo mkuu? na vipimo ulivyopiga hospital ni vipi? sasa kwa maana hiyo ni vyakula gani ambavyo vikawa angalau kidogo? na tatizo hilo lipo kwa muda gani? na dawa gani ulishawahi kuzitumia? Basi nijibu tuendelee...Vyakula vinavyonipa shida ni nyama aina zote,wali,maharage,ndizi,samaki,dagaa,soda aina zote,mboga za majani kama chinese,matembele na mchicha.
acha siasa wewe unaesema aorodheshe vyakula anavyokulaga manake we huvijui vyakula vyetu vya ki tz. Hawezi taja bagga wala piza bana we kama unajua msaidie tu kuliko kuuliza vitu unavyovijua. Haya ugali na ubwabwaPole Sana na mimi pia ninakuambia uorodheshe vyakula unavyo kula huenda unakula vyakula vingi vyenye Asidi vinavyokuletea matatizo ya Tumbo lako kuchefuka tuletee maelezo ya vyakula unavyo kula.
Vipi ndugu hujambo?
acha siasa wewe unaesema aorodheshe vyakula anavyokulaga manake we huvijui vyakula vyetu vya ki tz. Hawezi taja bagga wala piza bana we kama unajua msaidie tu kuliko kuuliza vitu unavyovijua. Haya ugali na ubwabwa