Ndugu zangu naomba msaada wenu wapi naweza kupata baiskeli ya kumsaidia mgonjwa ambaye hawezi kutembea baada ya kuvunjiku mguu. Ninaihitaji kwa haraka sana. Mwenye kufahamu inakopatikana naomba anifahamishe. Email me [email protected]
Nimeweka sample ya picha hapa chini.
Nashukuruni sana.
Nimeweka sample ya picha hapa chini.
Nashukuruni sana.