Msaada wanajukwaa

Joined
Jan 16, 2014
Posts
24
Reaction score
0
Naomba kupata taarifa zifuatazo kwa anayefahamu.
Napenda kuwekeza kwenye kilimo. Hivyo ningependa kujua maeneo ambayo naweza kupata shamba lenye rutuba katika mkoa wa Morogoro ama Tanga. Tafadhari naomba iwe ni sehemu ambayo inakubali kilimo cha mazao tofauti tofauti kama vile Mahindi, maharage, ndizi n.k na pasiwe pakame. Pia ningependa kujua wastani wa bei ya heka moja ili nijipange. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa watakao nipatia taarifa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…