Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

Alex Dennie

Senior Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
112
Reaction score
44
Habari zenu waungwana.....ishu ipo hivi...

Kuna jamaa yangu anakaa Malawi sasa ana demu wake yupo Iringa, jamaa ana muda wa miezi nane sasa hajaonana na mpenzi wake huyo

Mkasa ni kwamba, wiki iliyopita huyo dada alichora picha kwenye karatasi na kuipiga picha kumtumia msela, sasa kwa bahati mbaya ile picha aliopiga kapiga kama na KIPIMO CHA KUPIMIA MIMBA jamaa anahisi hivyo hana uhakika kama ndo chenyewe au vipi sababu hana amevisahau lakini anakumbuka kumbuka akiona hiyo picha (hapo chini)

Mshkaji anajiuliza kama ni kipimo ina maana mchumba wake ana mimba?

Msaada anaotaka ni nyie wadau muangalie hicho kipimo halafu mfananishe ili alinganishe, then mada nyingine kubwa itafuata baada ya hii kujulikana itafuata...

ASANTENI


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio chenyewe, ashagongewa huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona naona ni kama bahasha za Kufungiwa CD kariakoo.

Hiko siyo kipimo cha mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…