Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

hiki kipimo kinanikumbusha enzi nipo chuo...dah..ilikua ikiweka vimstari viwili uwiiii...bado nikikiona nasisimkwa
Kutokana na ulichokiandika hapa wewe mikono yako inachuruzika damu za viumbe wasiokuwa na hatia na ipo siku utawajibika kwazo!!!

Nimewaza kwa sauti tu nisamehe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
mkuu hebu acha kuhukumu basi
 
Kipimo cha ugwadu hicho, dada kazidiwa.
 
Back
Top Bottom