Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli hapa sitamlaumu jirani yangu aiseee kazi kituo kimoja lakini kwenye lift hatufahamianiKuagiza gari Ni sawa na kujiunga CHADEMA. Unatakiwa uwe na roho ngumu. Kuagiza na kulipia Ulaya si kazi. Kazi iko hapo mtoni kwetu.
Import duty.
Railway levy
Excise duty
Excise duty due to age
VAT
Import declaration fees
Handling
Wharfage
Number plate
Insurance
VAT on handling
VAT on wharfage
Agency fees
PETROL
Ukiona mtu anaendesha gari lake binafsi usimlaumu akikunyima lift.
Kina Alex Massawe wamepora sana nyumba na magari ya watu kwa style hiyo. Wanapokukopesha mnaandika mikataba miwili. Mkataba wa kwanza ni wa kukopeshwa na wa pili na wa kuuziana mali husika ambao unaanzia tarehe ya siku ya kutakiwa kulipa deni. Tarehe zikikaribia hawaonekani na hua hawataki uweke kwenye account ya bank. Muda ukipita mkataba unaofanya kazi ni ule wa mauziano!Loan sharks wabaya sana. Siku ya mwisho ikifika kabla riba haijaongezeka wanazima simu zote na mjini wanahama.
Wanajitokeza siku ya tatu au nne na kuanza kukulaumu kwanini hujalipa. Hapo hapo riba inaongezeka Mara dufu.
Kwenye ushirikina umedanganya, kama MTU ana hela hadi za kukupa wewe ulipie kodi, anashindwaje kuagiza Gari hadi akuroge apate Gari lako? Hapo umedanganya.Usithubutu kufanya hiyo arrangement ya kuchukua hela ya kulipia ushuru kutoka kwa loan sharks. Wanachofanya, gari ikitoka wewe unachukua file la document gari analichukua aliyekukopesha.
Kifuatacho baada ya hapo uhakikishe unapata pesa ndani ya mwezi mmoja baada ya kupewa pesa ili ulipe deni na 10% au 15% au 20% au 25% au 30% kama riba kutegemea makubaliano yenu. Ikipita mwezi mmoja riba inapandiana na waweza jikuta unadaiwa pesa zitakazokulazimisha kuacha gari na wewe kuambulia kupewa pesa kidogo tu ukipigiwa hesabu ya kiasi ukichonunua gari! Inasemekana watu hawa wanatumia hata ushirikina ili ushindwe kukomboa gari lako
Na roho ngumu hiyo ndiyo tunayoitaka kwenye maisha ili uwe kufanikiwa, ukiogopa hiyo misururu ya Kodi basi daladala zitakuhusu mpaka mpaka ukomeKuagiza gari Ni sawa na kujiunga CHADEMA. Unatakiwa uwe na roho ngumu. Kuagiza na kulipia Ulaya si kazi. Kazi iko hapo mtoni kwetu.
Import duty.
Railway levy
Excise duty
Excise duty due to age
VAT
Import declaration fees
Handling
Wharfage
Number plate
Insurance
VAT on handling
VAT on wharfage
Agency fees
PETROL
Ukiona mtu anaendesha gari lake binafsi usimlaumu akikunyima lift.
Hao wapumbavu wanakuendea kwa sangoma,kwanza wanakutia kauzembe fulani unapuuzia kuhusu kukomboa gari lako ili riba ipande,na hata mianya yako ya kupata shilingi mia itatiwa kipapai, kila unachopata wewe kitakutosha kura tu.....ukija kustuka muda kibao umepita na riba imepanda maradufu....jamaa wanachukua ndinga lako kilaiani.Usithubutu kufanya hiyo arrangement ya kuchukua hela ya kulipia ushuru kutoka kwa loan sharks. Wanachofanya, gari ikitoka wewe unachukua file la document gari analichukua aliyekukopesha.
Kifuatacho baada ya hapo uhakikishe unapata pesa ndani ya mwezi mmoja baada ya kupewa pesa ili ulipe deni na 10% au 15% au 20% au 25% au 30% kama riba kutegemea makubaliano yenu. Ikipita mwezi mmoja riba inapandiana na waweza jikuta unadaiwa pesa zitakazokulazimisha kuacha gari na wewe kuambulia kupewa pesa kidogo tu ukipigiwa hesabu ya kiasi ukichonunua gari! Inasemekana watu hawa wanatumia hata ushirikina ili ushindwe kukomboa gari lako
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Watanzania huwa mnasoma contents kwenye habari mkazielewa kweli? Kwenye maelezo yangu kuna mahali nimesema nataka kukwepa kodi? Maana yangu ya kuuliza, nilizungumzia habari ya kununua gari tena humu humu JF, ubaya ule uzi nimeukosa. Kuna mdau mwenye kampuni ya clearing and forwarding akanikomalia kwamba hata kama huna hela ya kulipa kodi kwa sasa hivi wao katika kampuni yao huwa wanaingia makubaliano wanalipia gari inatoka. Ndiyo maana nikauliza hii imekaaje?
[emoji23][emoji23][emoji23] Man of the match.Kwa zama hizi kama unataka kupiga chenga unaweza poteza yote mkuu
Hapana chezea mitano tena
Nenda katika yard za wauzaji wa magari chagua gari ..lipia nusu hlf hela nyingne wekeni mkataba utakuwa unailipa kidogo kidogo..ndio watu weng wanafanya hivi siku hizi.Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake?
Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu kulipia gari mpaka kuifikisha bandarini, sasa nataka nipate hao wadau ili tufanye biashara. Naomba ushauri wenu wa kitaalam wakuu, maana matapeli mayo yametamalaki kila kona nisije nikapigwa!
Namna gani storage charges?Tafuta watu wenye custom bonded warehouse. Unalitoa gari bandarini linaenda kufungiwa huko mpaka upate hela ya kulitoa.
Patamu hapo. Hataki uweke kwenye account. Simu kazima, nyumbani hayupo, muda wa kulipa umefika.Kina Alex Massawe wamepora sana nyumba na magari ya watu kwa style hiyo. Wanapokukopesha mnaandika mikataba miwili. Mkataba wa kwanza ni wa kukopeshwa na wa pili na wa kuuziana mali husika ambao unaanzia tarehe ya siku ya kutakiwa kulipa deni. Tarehe zikikaribia hawaonekani na hua hawataki uweke kwenye account ya bank. Muda ukipita mkataba unaofanya kazi ni ule wa mauziano!
Kuna tetesi kwamba loan sharks wengine wanatumia nguvu za giza. Yaani hata ukiwa na mipango iliyonyooka ya kupata pesa, unapokopa hela zao lazima mipango yako yote ivurugike na ushindwe kukomboa mali yako kwa wakati
Kwa kweli hapa sitamlaumu jirani yangu aiseee kazi kituo kimoja lakini kwenye lift hatufahamiani
Subiri muda si mrefu.Kwa kweli hapa sitamlaumu jirani yangu aiseee kazi kituo kimoja lakini kwenye lift hatufahamiani
Hakika ila ni kujikaza tu kusonga mbeleeeeeSubiri muda si mrefu.
Hilo gari lake likiibiwa atakushirikisha kulitafuta mwanzo mwisho ama akipata ajali wewe ndio utakua wa kwanza kuambiwa.
Hata Mimi nilikua na jirani wa hivyo.
Punde si punde nami nikanunua la kwangu Kisha nikapewa la kampuni.
Kuna siku tuko kwenye kinywaji alijishaua sssaana
Akishaagiza Gari kwa pesa zake inakuwaje si hasara Wakati anaweza kukukopesha wewe laki 5 ukashindwa kulipa ukamwachia Gari ya Million 12. Hakuna tajiri lelemama ni church mafia or street gangs or semi church -street or transformed robbersKwenye ushirikina umedanganya, kama MTU ana hela hadi za kukupa wewe ulipie kodi, anashindwaje kuagiza Gari hadi akuroge apate Gari lako? Hapo umedanganya.