Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

Kwa kweli hapa sitamlaumu jirani yangu aiseee kazi kituo kimoja lakini kwenye lift hatufahamiani
 
Loan sharks wabaya sana. Siku ya mwisho ikifika kabla riba haijaongezeka wanazima simu zote na mjini wanahama.
Wanajitokeza siku ya tatu au nne na kuanza kukulaumu kwanini hujalipa. Hapo hapo riba inaongezeka Mara dufu.
Kina Alex Massawe wamepora sana nyumba na magari ya watu kwa style hiyo. Wanapokukopesha mnaandika mikataba miwili. Mkataba wa kwanza ni wa kukopeshwa na wa pili na wa kuuziana mali husika ambao unaanzia tarehe ya siku ya kutakiwa kulipa deni. Tarehe zikikaribia hawaonekani na hua hawataki uweke kwenye account ya bank. Muda ukipita mkataba unaofanya kazi ni ule wa mauziano!

Kuna tetesi kwamba loan sharks wengine wanatumia nguvu za giza. Yaani hata ukiwa na mipango iliyonyooka ya kupata pesa, unapokopa hela zao lazima mipango yako yote ivurugike na ushindwe kukomboa mali yako kwa wakati
 
Kwenye ushirikina umedanganya, kama MTU ana hela hadi za kukupa wewe ulipie kodi, anashindwaje kuagiza Gari hadi akuroge apate Gari lako? Hapo umedanganya.
 
Tembelea showroom zilizopo hapa hapa bongo utapata gari kulingana na hela uliyonayo
 
Na roho ngumu hiyo ndiyo tunayoitaka kwenye maisha ili uwe kufanikiwa, ukiogopa hiyo misururu ya Kodi basi daladala zitakuhusu mpaka mpaka ukome
 
Hao wapumbavu wanakuendea kwa sangoma,kwanza wanakutia kauzembe fulani unapuuzia kuhusu kukomboa gari lako ili riba ipande,na hata mianya yako ya kupata shilingi mia itatiwa kipapai, kila unachopata wewe kitakutosha kura tu.....ukija kustuka muda kibao umepita na riba imepanda maradufu....jamaa wanachukua ndinga lako kilaiani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa zama hizi kama unataka kupiga chenga unaweza poteza yote mkuu
Hapana chezea mitano tena
[emoji23][emoji23][emoji23] Man of the match.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji471][emoji966][emoji1628][emoji954]






Mwenzio anatafuta mkopo sawa mzee?
 
Nenda katika yard za wauzaji wa magari chagua gari ..lipia nusu hlf hela nyingne wekeni mkataba utakuwa unailipa kidogo kidogo..ndio watu weng wanafanya hivi siku hizi.
 
Patamu hapo. Hataki uweke kwenye account. Simu kazima, nyumbani hayupo, muda wa kulipa umefika.
Benki zilegeze masharti tuachane na loan sharks.
 
Kwa kweli hapa sitamlaumu jirani yangu aiseee kazi kituo kimoja lakini kwenye lift hatufahamiani
Subiri muda si mrefu.
Hilo gari lake likiibiwa atakushirikisha kulitafuta mwanzo mwisho ama akipata ajali wewe ndio utakua wa kwanza kuambiwa.
Hata Mimi nilikua na jirani wa hivyo.
Punde si punde nami nikanunua la kwangu Kisha nikapewa la kampuni.
Kuna siku tuko kwenye kinywaji alijishaua sssaana
 
Hakika ila ni kujikaza tu kusonga mbeleeeee
 
Hatukopeshi gari wala pesa rafiki,
Kitaalam ukiwa na tatizo kama hilo sisi kama agents tuna watu wa bonded warehousing ambao tunashirikiana kuhifadhi mzigo wako hadi pale utakapokuwa tayari kulipia na kutoa,
Kima cha chini cha muda ni miezi 3
Na gharama ya kuweka bond hutegemea na bond husika.

Note:
Lazima ulipie gharama za bandari na shipping line
Utaskip kulipia kodi tu na usajili pekee.

Karibu
0768900531
 
Kwenye ushirikina umedanganya, kama MTU ana hela hadi za kukupa wewe ulipie kodi, anashindwaje kuagiza Gari hadi akuroge apate Gari lako? Hapo umedanganya.
Akishaagiza Gari kwa pesa zake inakuwaje si hasara Wakati anaweza kukukopesha wewe laki 5 ukashindwa kulipa ukamwachia Gari ya Million 12. Hakuna tajiri lelemama ni church mafia or street gangs or semi church -street or transformed robbers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…