Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
Hamna kabila litawatoa kilelenikwani nafasi ya ubahili bado inashikiliwa na wapare ?
yan nina dharau tena whyyyyyyyy huenda sijifahamUmetoa ushauri mzuri na unamfaa hata anayepata kipato cha zaidi ila Punguza dharau!
Weka sura yako humu kk/ddHili suala nahitaji ushauri wa Wanauchumi
Ninafanya kazi/kibarua sehemu fulani huku jiji la kanda ya ziwa
Nimepanga chumba nalipia Kodi 30k per month,.bill ya umeme na maji pia
Natumia nauli kwenda na kurudi kibaruani
Sasa nataka mwaka ujao nianze kuweka akiba Ila najiuliza kwa pesa hii nitaweza kusurvival mwezi mzima bila kukopa sehemu
Lengo langu nianze kutunza fedha kuanzia 2020 ,Sasa Wanauchumi nipeni mbinu za kufanikisha jambo hili kwa salary ya 120K
Asanteni
Mkuu nani ulimuona anakula mtaji na akaservive?Kama unamke apike mama ntilie na kula yenu iwe humo humo.
Wakiongozwa na Mchome family[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani nafasi ya ubahili bado inashikiliwa na wapare ?
Wakiongozwa na Mchome family[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa amebadili matumizi tu kutoka kuhonga na kutoa sadakaKuhonga iwe ni mwiko nalo hili ni gumu kuliko ila ukiwa karibu na mungu ukawa muumin hakika hili utalishinda.
Mkuu hongera kwa uamuzi wa kuanza kusave swala la kuweka akiba ni tabia au culture ambayo ni natural blessed au mtu unaweza kujifunza na kujizoesha..Kama hauna utamaduni wa kuweka akiba ata upate million 5 kwa mwezi Ni ngumu kuweka akiba...Kingine ni lazima kuwe na strong purpose ya kufanya saving bila hiyo utakosa passion ya kusave na utachoka. Fanya utafiti ni biashara gani ya mtaji wa laki tano unayoweza kufanya ukitoka kazini tumia opportunity ya kuwa lake zone biashara zinafanyika holela..laki tano inatosha kupata robota zuri la mashati ya kiume weka kwenye racket ukitoka kazini Mwaga mzigo ata nje ya Bank hakuna shidda.. muhimu kitambulisho Cha machinga saa 10 mpaka saa 12 utakosa wateja.. huo mshahara wako ni mkubwa Sana unaweza save nusu yake tsh-60.. sacrifice for your future..Hili suala nahitaji ushauri wa Wanauchumi
Ninafanya kazi/kibarua sehemu fulani huku jiji la kanda ya ziwa
Nimepanga chumba nalipia Kodi 30k per month,.bill ya umeme na maji pia
Natumia nauli kwenda na kurudi kibaruani
Sasa nataka mwaka ujao nianze kuweka akiba Ila najiuliza kwa pesa hii nitaweza kusurvival mwezi mzima bila kukopa sehemu
Lengo langu nianze kutunza fedha kuanzia 2020 ,Sasa Wanauchumi nipeni mbinu za kufanikisha jambo hili kwa salary ya 120K
Asanteni
Hili suala nahitaji ushauri wa Wanauchumi

Sada ni kile utoacho bila kuikalifisha nafsi kulingana na uwezo wako.Mungu anazijua hali zetu.Atakuwa amebadili matumizi tu kutoka kuhonga na kutoa sadaka
Jitahid kusave ata 10k kila mwezi baada ya miez mi5 inaweza ikawa ni 50k. baadae unaweza kupata chochote unachoweza kufanya kwa hio 50k ikakupa ata 1k kwa SKU.Hili suala nahitaji ushauri wa Wanauchumi