Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Aisee..Ushauri wa wazi lakin wa upolee kabisaa.Kodi 30 + umeme+maji+ nauli kwenda na kurudi.= 60,000 (nimechukulia nauli ni 400 kwenda na kurudi ndani ya siku 25).
Inabaki 60.
Chai 500*30=15000
Inabaki elfu 45.
Tuseme mchana usile uje ule jioni kwa budget ya 1500= 45000.
Hela imeisha . Hamna back ya kusave na bado itabidi mchana usile.
Jaribu kutafuta kazi nyingine zaidi. Usiitegemee hii tuu itakuumiza sana.
Ubarikiwee