Aisee..Ushauri wa wazi lakin wa upolee kabisaa.Kodi 30 + umeme+maji+ nauli kwenda na kurudi.= 60,000 (nimechukulia nauli ni 400 kwenda na kurudi ndani ya siku 25).
Inabaki 60.
Chai 500*30=15000
Inabaki elfu 45.
Tuseme mchana usile uje ule jioni kwa budget ya 1500= 45000.
Hela imeisha . Hamna back ya kusave na bado itabidi mchana usile.
Jaribu kutafuta kazi nyingine zaidi. Usiitegemee hii tuu itakuumiza sana.
Mkuu naona bado uko kwenye comfort zone. usiposhtuka mapema utakufa masikini nakushauri piga chini iyo kazi, tafuta issue nyingine,Hili suala nahitaji ushauri wa Wanauchumi
Ninafanya kazi/kibarua sehemu fulani huku jiji la kanda ya ziwa
Nimepanga chumba nalipia Kodi 30k per month,.bill ya umeme na maji pia
Natumia nauli kwenda na kurudi kibaruani
Sasa nataka mwaka ujao nianze kuweka akiba Ila najiuliza kwa pesa hii nitaweza kusurvival mwezi mzima bila kukopa sehemu
Lengo langu nianze kutunza fedha kuanzia 2020 ,Sasa Wanauchumi nipeni mbinu za kufanikisha jambo hili kwa salary ya 120K
Asanteni
Ofcz..ni sehem ya faida ndio inazungumziwa hapaYani wale wanachouza?
Kua makini!
Hii ni uhalisia kabisa, mama yangu ni mamantilie hadi sasa. Anakula kuanzia chai hadi chakula cha jioni yeye wafanyakazi na wanae wawili hapo hapo na hajayumba mtaji. Zipo nyakati anaangukaga lkn anasimama tenaNilikuwa mama ntilie, mimi na wadada wangu wa biashara wote tunakula hapo hapo na faida ipo na msingi upo.
Kwetu pia mama ntilie ndo biashara iliyonilea na kunisomesha na bajeti ya kula wote hapo hapo.
Mimi nakumbuka tunatembea kwa miguu na wanafunzi wenzangu tunawahi kwetu kula ukoko na maharage, aiseee hawasahau mpaka kesho ulivyokuwa mtamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachotakiwa ni kukata shauri kuwa liwalo na liwe, aende mtaani akapambane kitofauti.Unatakiwa ufanye maamuzi magumu.
Kama hiyo kazi ya kufundisha ni kazi ya ndoto yako endelea nayo huku unatafuta shule nyingine, lakini muhimu utafute nyumba karibu na eneo la kazi gharama ya nauli uepuke kama shuleni kwenu wanaruhusu biashara ndogondogo tafuta sehemu wanapouza asikirimu kwa jumla chukua zako. Mara nyingi la. Kuwekea anakupa mwenye asikirimu ukichukua piece 100 hukosi 3,000 kwa siku, ukiuza piece mia mbili hukosi 6,000.
Kama kufundisha unafanya tu ili mradi mkono uende kinywani chukua maamuzi magumu yakiume haswa pokea mshahara wako acha kazi.
120,000 inatosha kuingia nayo mtaani kupambana kwa biashara ndogo ndogo funga moyo pambana aiseeee ujiajiri utatoboa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi jamii zetu ngozi nyeusi wee acha tu, watafunguliwa biashara bado wataona wewe unazo pesa nyingi hadi gari unalo anafaidi mkeo, utaandamwa hadi na ukoo mzima hadi kupigwa ndumba na kutamkiwa maneno ya hovyo hovyo yaliyobeba laana. Ufukara na utegemezi uliokithiri kwenye jamii zetu unakwamisha hata maendeleo ya nchi zetu, hapo bado fitina, majungu, ushirikina, elimu duni, mitazamo hasi na mambo mengi ya hovyo hovyo. Kuja kufikia ustaarabu wa wazungu nafikiri hadi mwisho wa dunia..Mkuu hayo unayoishi sio maisha siku ukisimamishwa kazi tu utaona maisha machungu.
Wazazi wanafunguliwa biashara yao hawasaidiwi cash endapo itatokea ×chache ila ukiwangulia inakupa unafuu.
Gari kuwa nalo si dhambi ila hapo inapokulia nshahala wako ili kulihudumia jitathmini maisha rahisi ukiwa na mikakati.
Mimi ningekuwa na salary hiyo I can't imagine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel mkuu.Kwa maisha ya mjini tusidanganyane hakuna cha kusave kwa mshahara huo. Hata kwa matumizi yako ya kawaida haitoshi mkuu.
Tafuta shughuli nyingine ya kufanya kama inawezekana ila usiache kazi mpaka mitambo ikae sawa.
Ndugu wanaandama kisawasawa! Wanademand mambo usio na uwezo nayo wakiamini unao uwezo. Ni shidaDah! hiyo laki 2 na sometimes hadi laki 4 ndo nawasaidia wazazi na bado wanadai haiwatoshi, nikiamua kuendesha gari langu kwenda kazini kila siku ni laki 3 hiyo, hapo bado matumizi ya familia ya kila siku. kuna kipindi nilikuwa nalipwa viposho ambavyo ukiunganisha na salary inafika kama ml.4 kwa mwezi ndo nikajifaragua kujenga kakibanda ambako hadi leo kanadai finishing. Inaweza ikawa pesa nyingi kwa maisha ya chini na huna presha ya kusaidia wazazi na hawa ndugu wengine, mara utaambiwa mpwa wako shule zinafunguliwa toa pesa ya ada na matumizi. Nafikiri wazungu walifanikiwa hili swala la extended families, kila mtu anafanya kazi kwa ajili ya familia yake na serikali zao zinatoa social security za kueleweka. Wazee wakipoteza uwezo wa kufanya kazi wanapelekwa kutunzwa kwenye makambi. Ngozi nyeusi ukifanikiwa kidogo hata ka-salary ka 800K kwa mwezi utaandamwa na ndugu waomba misaada hadi utajuta..
Shida ni nidhamu, mchawi atakua mfukon!Ofcz..ni sehem ya faida ndio inazungumziwa hapa
Hahaha..ukijaribu kuwaelewesha kwamba kwa sasa mambo siyo mambo hawaelewi. wanachojua wewe upo mjini unafanya kazi na wamesikia hadi gari unalo, sasa utawaeleza kitu gani..Ndugu wanaandama kisawasawa! Wanademand mambo usio na uwezo nayo wakiamini unao uwezo. Ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hapo njia iliyobaki kuwekeza sana tu ndio utafaidi pesa zako.Mkuu hizi jamii zetu ngozi nyeusi wee acha tu, watafunguliwa biashara bado wataona wewe unazo pesa nyingi hadi gari unalo anafaidi mkeo, utaandamwa hadi na ukoo mzima hadi kupigwa ndumba na kutamkiwa maneno ya hovyo hovyo yaliyobeba laana. Ufukara na utegemezi uliokithiri kwenye jamii zetu unakwamisha hata maendeleo ya nchi zetu, hapo bado fitina, majungu, ushirikina, elimu duni, mitazamo hasi na mambo mengi ya hovyo hovyo. Kuja kufikia ustaarabu wa wazungu nafikiri hadi mwisho wa dunia..
Ndio mana wanasema mtaji wa maskin ni nguvu zake mwenyewe.Akitaka vocha labda aache kunywa chai, au atembee kwa miguu muda wa kutoka kazini.
Hivyo hivyo sabuni, dawa ya meno na ajichunge asiugue.
Ndio mana wanasema mtaji wa maskin ni nguvu zake mwenyewe.Akitaka vocha labda aache kunywa chai, au atembee kwa miguu muda wa kutoka kazini.
Hivyo hivyo sabuni, dawa ya meno na ajichunge asiugue.
Ahahahahah...Shida ni nidhamu, mchawi atakua mfukon!
Mkuu kuna muda inabidi ufanye maamuzi magumu Nina ndugu yangu yupo TRA yeye anafanya mambo yake mwenyewe anatoa msaada kwa ndugu pale anapoweza na kashapiga hesabu zake tu na ana gari na mambo mengine mengi na MAENDELEO yanaenda vizuri washalalamika sana wameacha wenyewe KUNA MUDA BORA KUWAKAZIA TU ILI ufikie malengo yakoMkuu hizi jamii zetu ngozi nyeusi wee acha tu, watafunguliwa biashara bado wataona wewe unazo pesa nyingi hadi gari unalo anafaidi mkeo, utaandamwa hadi na ukoo mzima hadi kupigwa ndumba na kutamkiwa maneno ya hovyo hovyo yaliyobeba laana. Ufukara na utegemezi uliokithiri kwenye jamii zetu unakwamisha hata maendeleo ya nchi zetu, hapo bado fitina, majungu, ushirikina, elimu duni, mitazamo hasi na mambo mengi ya hovyo hovyo. Kuja kufikia ustaarabu wa wazungu nafikiri hadi mwisho wa dunia..
Line haifungwi kwenye mawasiliano inafungwa upande wa Mpesa au tigo pesa tuMkuu hilo la line ni kitu practical??
Kwamba kuna mtu kashawah kujaribu??
Maana wasije wakafunga line halaf wakaigawa namba kwa mtu ikawa majanga
OkayLine haifungwi kwenye mawasiliano inafungwa upande wa Mpesa au tigo pesa tu
Anachotakiwa ni kukata shauri kuwa liwalo na liwe, aende mtaani akapambane kitofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app