Haya maisha haya.... Hii bongo mbona Kuna mishahara ya ajabu hivi....
120k aiseeee.... Watawala mna kazi ya kufanya haya Mambo msiwaachie waajiri wajipangie...
Kuna haja na Mimi kujibana aisee maana Kuna kipindi nilikuwa natumia zaidi ya 600k kwa mwezi kwa ajili ya papuchi tu