Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Mkuu nataka kujua jinsi ya kufuta msg niliyotuma kwa bahati mbaya, kule ionekane tu "deleted"
Unafuta tu kama unavyofuta meseji nyingine lakini kwenye option ya kudelete, bonyeza "DELETE FOR EVERYONE". Kama hiyo option haipatikani kwenye simu yako, UPDATE whatsapp yako kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…