tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Unafuta tu kama unavyofuta meseji nyingine lakini kwenye option ya kudelete, bonyeza "DELETE FOR EVERYONE". Kama hiyo option haipatikani kwenye simu yako, UPDATE whatsapp yako kwanza.Mkuu nataka kujua jinsi ya kufuta msg niliyotuma kwa bahati mbaya, kule ionekane tu "deleted"