johnnaimani
Member
- Feb 28, 2015
- 6
- 0
umeweza ila inatakiwa kufanya zoezi mara kwa mara ili usije kusahaunimejaribu
Sawa as ante kwa ushauri pia naomba msaada mmoja kuweka rangi ninajua lakn ninalotaka kuweka rangi halikuabali peke yake yanakaa yote jee nifanye vipi ili likae rangi neno ninalotaka tu.umeweza ila inatakiwa kufanya zoezi mara kwa mara ili usije kusahau
yaani hivi.! au?Sawa as ante kwa ushauri pia naomba msaada mmoja kuweka rangi ninajua lakn ninalotaka kuweka rangi halikuabali peke yake yanakaa yote jee nifanye vipi ili likae rangi neno ninalotaka tu.
Mfano kama hili hapa ninatakalokae hili hapa tu yanakaa yote.
Yaa kama hivi ndugu.yaani hivi.! au?
kama unataka neno fulani Litokee mbona simpo tu!?Sawa as ante kwa ushauri pia naomba msaada mmoja kuweka rangi ninajua lakn ninalotaka kuweka rangi halikuabali peke yake yanakaa yote jee nifanye vipi ili likae rangi neno ninalotaka tu.
Mfano kama hili hapa ninatakalokae hili hapa tu yanakaa yote.