Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

umeweza ila inatakiwa kufanya zoezi mara kwa mara ili usije kusahau
Sawa as ante kwa ushauri pia naomba msaada mmoja kuweka rangi ninajua lakn ninalotaka kuweka rangi halikuabali peke yake yanakaa yote jee nifanye vipi ili likae rangi neno ninalotaka tu.
Mfano kama hili hapa ninatakalokae hili hapa tu yanakaa yote.
 
On Android, you can tap and hold the text you're typing > More > and choose among bold, italic, strikethrough and monospace.
 
Sawa as ante kwa ushauri pia naomba msaada mmoja kuweka rangi ninajua lakn ninalotaka kuweka rangi halikuabali peke yake yanakaa yote jee nifanye vipi ili likae rangi neno ninalotaka tu.
Mfano kama hili hapa ninatakalokae hili hapa tu yanakaa yote.
yaani hivi.! au?
 
kama unataka neno fulani Litokee mbona simpo tu!?
 
Back
Top Bottom