Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Yaa kama hivi ndugu.
ok yale maneno au neno unalotaka litokee., weka mabano yetu kama kawaida ila mwishoni pia uweke mabano kwa mfano mwanzo unaweka mabano hivi [ color=red]unaweka neno hapa, na mwisho unaweka [/ color] haya yatakoyoendelea huku nje hayatatokea rangi mf, hivi ni simpo laiki dhati!
 
Asantendugu usisite kutujuza kwa Yale tusiyoyajua hapa.

Kuna Ile ya mlalo inakuaje yaan italic
 
Asantendugu usisite kutujuza kwa Yale tusiyoyajua hapa.

Kuna Ile ya mlalo inakuaje yaan italic
ha haa.. Kuna kitu nimesahau ndio maana nilikuambia hivi vitu vinatakiwa kufanyiwa zoezi la mara kwa mara, italic ni kua unaweka mabano ya [ i] na mwisho unamaliza na [/i ] ikiwa na herufi "i" ndani yake kama sikosei! Poa na mimi ngoja nianze kufuatilia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…