Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok yale maneno au neno unalotaka litokee., weka mabano yetu kama kawaida ila mwishoni pia uweke mabano kwa mfano mwanzo unaweka mabano hivi [ color=red]unaweka neno hapa, na mwisho unaweka [/ color] haya yatakoyoendelea huku nje hayatatokea rangi mf, hivi ni simpo laiki dhati!Yaa kama hivi ndugu.
teh teh e e.. Umekaribia kuweza![/hivi]
Asantendugu usisite kutujuza kwa Yale tusiyoyajua hapa.ok yale maneno au neno unalotaka litokee., weka mabano yetu kama kawaida ila mwishoni pia uweke mabano kwa mfano mwanzo unaweka mabano hivi [ color=red]unaweka neno hapa, na mwisho unaweka [/ color] haya yatakoyoendelea huku nje hayatatokea rangi mf, hivi ni simpo laiki dhati!
Ndugu hii inatiumika Watsap.*pooa sana*
Oooh thanksNdugu hii inatiumika Watsap.
[Very_good]Oooh thanks
[Good][Very_good]
hivi?Asantendugu usisite kutujuza kwa Yale tusiyoyajua hapa.
Kuna Ile ya mlalo inakuaje yaan italic
Ngoja tuoneKubold maneno JF ni [ b ] bananisha hapo kisha andika maneno yatakua bolded
itakua ni hiviAsantendugu usisite kutujuza kwa Yale tusiyoyajua hapa.
Kuna Ile ya mlalo inakuaje yaan italic
Labda Itakua hiviitakua ni hivi
Au vyote bold na italicitakua ni hivi
ha haa.. Kuna kitu nimesahau ndio maana nilikuambia hivi vitu vinatakiwa kufanyiwa zoezi la mara kwa mara, italic ni kua unaweka mabano ya [ i] na mwisho unamaliza na [/i ] ikiwa na herufi "i" ndani yake kama sikosei! Poa na mimi ngoja nianze kufuatilia!Asantendugu usisite kutujuza kwa Yale tusiyoyajua hapa.
Kuna Ile ya mlalo inakuaje yaan italic