Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Mkuu kama unatumia mobile application sio rahisi kubold, kupaka rangi wala kukuza maandishi, etc. Kama unatumia web application kwenye simu au kompiuta inawezekana kufanya hivyo kwa kufuata hizo alama nilizozungushia hapo kwenye mchoro (tazama mchoro hapo chini). Ukigusisha buku yako kwenye herufi zilizopo juu ya ukurasa wako wa kuandikia, utaona kwamba B inamaanisha bold, I inammanisha italic, U, underline, nk. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuchagua/highlight maneno unayotaka kufanyia ukarabati na kutekeleza aunachotaka kukifanya mubashara. Bila shaka umenielewa mkuu.
View attachment 525727
Mkuu hiyo web mobile application ni ipi naitaka ntaipataje kama unayo au kuna mwenye nayo naomba anielekeze au anitumie telegram kwa namba hizi 0756695846.
 
Basi ukiona hivyo ujue unatumia JF web/computer version, sio JF mobile version/application. Unaweza ukatumia computer version kwenye baadhi ya simu zikakubali lakini sio zote.
Na mimi nawezaje kuipata hiyo web mobile application mkuu maana nimechoka na hii app nilionayo haina swaga men kama vp mweny nayo anitumie whatapp au tereglama namba 0756695846
 
Ukitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*

Na kama unataka ku bold humu JF unatakiwa kuwa na hii setup katikati ya hayo maneno unaweka maneno unayotaka ku bold.KUMBUKA KATIKATI YA MANENO NA HAYO MABANO USIACHE NAFASI.Mfano naweka katikati neno JINI yan JINI

[
*nimeona*
 
bado kuweka rangi maneno nani wa kunielekeza zaidi kwa ufasaha.
 
 
Back
Top Bottom