colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Daah kwaiyo mm ndo kilaza[colour=red]wow
Mbona inakataa mkuuKuandika kwa rangi Anza na alama hii "[" Kisha neno "color" Kisha alama hii "=" Kisha neno "red" Kisha alama hii "]" Kisha "ujumbe" .
Hutakiwi kuruka nafasi
Kifupi ni hivi ****[ color = red ] ujumbe****
Jaribu kuandika hayo maneno yaliyo ndani ya **** bill kuruka nafasi
bold[Bold]Sawia