Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Kuandika kwa rangi Anza na alama hii "[" Kisha neno "color" Kisha alama hii "=" Kisha neno "red" Kisha alama hii "]" Kisha "ujumbe" .
Hutakiwi kuruka nafasi

Kifupi ni hivi ****[ color = red ] ujumbe****

Jaribu kuandika hayo maneno yaliyo ndani ya **** bill kuruka nafasi
Mbona inakataa mkuu
 
Back
Top Bottom