Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Andika hivi [ b ] ila usiache nafasi
Kisha neno lako linapoanza pia usiache nafasi kulitengenisha na hili bano la mwisho mfano. b]Kama hivi
Mkuu niasidie jinsi ya kuandika maneno(kupamba) kwa rangi nyekundu.
 
Back
Top Bottom