Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Andika [ b ]maneno
Hiyo b usiitoe ndani ya mabano bali uiweke karibu na mabano bila kuacha nafasi kisha uandike maneno utakayo nje ya mabano

maneno usichoke
Nimeshakosea, sirudii tena
 
Back
Top Bottom