Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
(CO l'or = r e d)najaribuKuweka rangi andika hivi [ co lor = r e d ]kisha andika neno utakalo. Hapo kwwnye mabano usiache nafasi
(CO l'or = r e d)najaribu
usiache nafasi kwenye neno color yaani hivi, unaandika mabano ya namna hii [color] halafu kisha andika sentensi yako ila usiache nafasi kati ya hayo mabano na sentensi yako unayoitaka uweke rangi. Baada ya kuandika sentensi yako. Andika /color lakini iwe ndani ya mabano na pia usiache nafasi. Yaani hivi [/color](CO l'or = r e d)najaribu
Hiyo ya kuweka nyota ni kwenye whatsapp sio kwenye JF. Kwenye JF andika herufi b ikiwa ndani ya mabano ya namna hii [ ] kisha andika maneno yako*alaa*
ajeHiyo ya kuweka nyota ni kwenye whatsapp sio kwenye JF. Kwenye JF andika herufi b ikiwa ndani ya mabano ya namna hii [ ] kisha andika maneno yako