Mburu kidudu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 532
- 541
[/color]asanteusiache nafasi kwenye neno color yaani hivi, unaandika mabano ya namna hii [color] halafu kisha andika sentensi yako ila usiache nafasi kati ya hayo mabano na sentensi yako unayoitaka uweke rangi. Baada ya kuandika sentensi yako. Andika /color lakini iwe ndani ya mabano na pia usiache nafasi. Yaani hivi [/color]
teh![red] mtoto
Asante,nilikua najaribu kuweka link.Nimefaulukuna mtu Jana nilimshukuru kwa kufundisha vizuri km sikosei angalia page 10,11 Na 12 utayakuta hayo maelezo
(b)hiyoooAndika [ b ]kisha neno bold itatokea(hapo kwenye mabano hakikisha panabanana)
mwee jasho lilinitoka wanafunzi wagumu kuelewa hawa
ngoja tena[colour=blue]ngoja tena
asantesanaAnza na [ halafu weka b kisha weka ] halafu weka neno lako hakikisha unabananisha_mfano
[k]juma sasa kwenye k weka b
juma
Mbele ya najaribu weka(bila space) [/color](CO l'or = r e d)najaribu
,alafu maliza kama ulivyomalizia[red]sawa[/red]
[ ] sio ( )(Mbona kwangu haikubali)
Hahaha hiyo b weka kwenye mabano ya hivi [ sio hayo uliyotumia(b)hiyooo
ungekuwa na fimbo ungewachapa uwa inasahidia kutoa uzitoHahaha hiyo b weka kwenye mabano ya hivi [ sio hayo uliyotumia