Mburu kidudu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 532
- 541
[/color]asanteusiache nafasi kwenye neno color yaani hivi, unaandika mabano ya namna hii [color] halafu kisha andika sentensi yako ila usiache nafasi kati ya hayo mabano na sentensi yako unayoitaka uweke rangi. Baada ya kuandika sentensi yako. Andika /color lakini iwe ndani ya mabano na pia usiache nafasi. Yaani hivi [/color]