Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Hee wee andika tu kawaida yatarudi bila kuweka mbwembwe za color au b mabano
Mkuu naomba unifundishe jinsi ya kurudi ktk maandishi ya kawaida,mf; kuanzia hapa herufi ziwe za kawaida na rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…