Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

[bKUMBEEE]
59ede2985cff5ae529f681b4e016a23a.jpg
mkuu angalia screenshot hiyo jibu utapata.
 
Hee wee andika tu kawaida yatarudi bila kuweka mbwembwe za color au b mabano
Mkuu naomba unifundishe jinsi ya kurudi ktk maandishi ya kawaida,mf; kuanzia hapa herufi ziwe za kawaida na rangi.
 
Back
Top Bottom