Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

KuBold maneno whatsapp fanya hivi;
kabla ya sentensi au neno unalotaka liwe BOLD ukitype, anza na *(nyota) kisha andika neno au sentensi unayotaka kuiandika katika bold, kisha malizia kwa kuweka *(nyota) tena mwishoni, na hapo tayari umeshaBOLD neno au sentensi yako whatsapp.
Cc. Mboromi lade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengingi sijui hawataki kuelimisha au nao hawaweza kubold. Wenye ujuzi walete mambo na MAKAPUKU TUWE WAPOLE.
 
Back
Top Bottom