OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vipi namna ya kupigia mstari neno watsapUkitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*
Na kama unataka ku bold humu JF unatakiwa kuwa na hii setup katikati ya hayo maneno unaweka maneno unayotaka ku bold.KUMBUKA KATIKATI YA MANENO NA HAYO MABANO USIACHE NAFASI.Mfano naweka katikati neno JINI yan JINI
[
Mkuu ukitaka kutobold baadhi ya sehemu katika sentensi yako unafanyaje? Nimejaribu bt inabold sentensi nzimaKubold maneno JF ni [ b ] bananisha hapo kisha andika maneno yatakua bolded