Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Hivi ukiwa na jf app huwezi kubold?? Mbon mm cwez???
 
Jamani anaeweza nisaidia mifate pm nijue namimi maana cjawah fanikiwa
 
kumbe,asante kwa kutswalika
wengine tumeunga tela
na kufaidika na hii elimu.😀😀😀
 
Back
Top Bottom