kibanga 077
Member
- Jul 12, 2017
- 6
- 1
[emoji12]Si bora nyie mimi ku upload video na picha nashindwa
Ni kweli ila bado cjajua jinsi ya kuandika maandish yenye rangi tofaut na hii
Asante Mkuu whatsap nimeweza bado humu
Ahaa!"jinsi ya kuandika maneno yenye rangi ni kama ifuatavyo.Ni kweli ila bado cjajua jinsi ya kuandika maandish yenye rangi tofaut na hii