Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Ni kweli ila bado cjajua jinsi ya kuandika maandish yenye rangi tofaut na hii
Ahaa!"jinsi ya kuandika maneno yenye rangi ni kama ifuatavyo.
(@)unatakiwa uanze kama hivi [color=].

(1)[ color= red] kwa rangi nyekundu.

(2)[ color= blue] kwa rangi ya bluu

(3)[ color= purple] kwa rangi ya zambarau

(4)[ color= black] kwa rangi nyeusi

(5)[ color= yellow] kwa rangi ya manjano.
(@) hizo ndizo rangi ninazozifahau kama kuna nyingine nitakujuza mkuu ila "N.B" unapoanza na ""mabano color= rangi mabano"" usiache nafasi.
 
Back
Top Bottom