Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Ukitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*

Na kama unataka ku bold humu JF unatakiwa kuwa na hii setup katikati ya hayo maneno unaweka maneno unayotaka ku bold.KUMBUKA KATIKATI YA MANENO NA HAYO MABANO USIACHE NAFASI.Mfano naweka katikati neno JINI yan JINI

[
upotoshaji
 
AHAAA
 
ukitaka kubadili rangi katika sentensi watsap unafanyaje.Na vipi ukitaka kupigia mstari katika watsap?
 
Back
Top Bottom