Rekondoboshiki
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 228
- 280
Web application kwenye simu unaipata kwa kuingiza url ya jamiiforums kwenye web browser unayotumia. Andika www.jamiiforums.com kwenye address bar na kusearch utaipata.WEB application unaipataje mkuu?nisaidie
Andika ivihii ya kuweka rangi siijui.., nijuze kama hutojali.