Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

hii ya kuweka rangi siijui.., nijuze kama hutojali.
Andika ivi
[colour=rangi unayoitaka ] neno lolote ulalotaka

Mfano
neno lolote

Hapo kwenye mfano nilipoacha nafasi mimi wewe usiache nafasi coz mimi nakuelekeza
 
Back
Top Bottom