Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

(/color)nakuja


usiache nafasi kwenye neno color yaani hivi, unaandika mabano ya namna hii [color] halafu kisha andika sentensi yako ila usiache nafasi kati ya hayo mabano na sentensi yako unayoitaka uweke rangi. Baada ya kuandika sentensi yako. Andika /color lakini iwe ndani ya mabano na pia usiache nafasi. Yaani hivi [/color]
 
Back
Top Bottom