Ryanvonryx
Member
- Dec 24, 2016
- 19
- 8
( b) HT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama unatumia mobile application sio rahisi kubold, kupaka rangi wala kukuza maandishi, etc. Kama unatumia web application kwenye simu au kompiuta inawezekana kufanya hivyo kwa kufuata hizo alama nilizozungushia hapo kwenye mchoro (tazama mchoro hapo chini). Ukigusisha buku yako kwenye herufi zilizopo juu ya ukurasa wako wa kuandikia, utaona kwamba B inamaanisha bold, I inammanisha italic, U, underline, nk. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuchagua/highlight maneno unayotaka kufanyia ukarabati na kutekeleza aunachotaka kukifanya mubashara. Bila shaka umenielewa mkuu.
View attachment 525727