Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

..*mbona nashindwa hiyo staili yenu* ?
 
[Najaribu] kwa maelezo ya post no. 4 [ b ] bananisha hapo....hapo wapi?
Embu fanya kama hivi. [color=weka rangi uitakayo kama blue]Makinikia

Jaribu nakusubiria.. Baada blue weka alama hii ] usiache nafasi
 
Hii ndo ngumu hata menu ya color....(ribbon ya color) siioni.
 
Back
Top Bottom