Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sujakuelew vizur hio hio ya jfUkitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*
Na kama unataka ku bold humu JF unatakiwa kuwa na hii setup katikati ya hayo maneno unaweka maneno unayotaka ku bold.KUMBUKA KATIKATI YA MANENO NA HAYO MABANO USIACHE NAFASI.Mfano naweka katikati neno JINI yan JINI
[
Kwa jamii forum ukitaka kubold weka mabano haya [k] kisha Hiyo Hiyo k weka b kisha bila kuacha nafasi andika neno la kwanza mengine yanayofuata yata be boldedSujakuelew vizur hio hio ya jf
]Hapana hata huko hamna kitu
Watu wa jf awajui kuelekeza awafai kuwa walimu shubamit[BakayokoB]
Hayo maneno yanapaswa kuwa nje ya mabano mkuu[kwelii]
Watu wa jf awajui kuelekeza awafai kuwa walimu shubamit
Hayo maneno yanapaswa kuwa nje ya mabano mkuu