Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

[ b ]mama




mama jamani mkitaka bold hio b ndani ya mabano iwe karibu na mabano yote kisha nje ya mabano ndio muandike maneno bold itatokea
Mkuu naomba unifundishe jinsi ya kurudi ktk maandishi ya kawaida,mf; kuanzia hapa herufi ziwe za kawaida na rangi.
 
Back
Top Bottom