Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifundishe mkuu[emoji16][emoji85]Mtoa mada Unatumia WEB VIEW AU MOBILE APP KUINGILIA JF?
Aaa kumbe poa[Kama hiv yaano]
*maana yake nini*Ukitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*
Na kama unataka ku bold humu JF unatakiwa kuwa na hii setup katikati ya hayo maneno unaweka maneno unayotaka ku bold.KUMBUKA KATIKATI YA MANENO NA HAYO MABANO USIACHE NAFASI.Mfano naweka katikati neno JINI yan JINI
[
kisha andika bila kuacha nafasi kwa neno la kwanza. Kwenye yeyote weka rangi unayotaka mf red, blue, etc[COROL=BLUE]MSINICHOKE[/COROL]
Aisee nimejaribuUkitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*