Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Nataka jinsi ya kuandika nusu ,robo,moja ya tatu kwa namba za sehemu anayejua atuelekeze cm yangu Samsung A7 sijaiona sehemu ya kuandika hivo ila kwenye cm ya Tecno ipo
 
Back
Top Bottom