Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi wa zamaniii wakati joseverst ni Jose haswaMtoa mada Unatumia WEB VIEW AU MOBILE APP KUINGILIA JF?
(B) tuombeeeeKubold maneno JF ni [ b ] bananisha hapo kisha andika maneno yatakua bolded
kwelikumbe
Hii kitu bado kipoHabari za muda ndugu wa JamiiForums
Naenda moja kwa moja. Huwa natamani sana na mimi kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze. Alafu pia maneno ya rangi.
Asanteni, nawasilisha.