Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Samahani mkuu nimekumbuka. Ukitaka kubold, kuandika italic, ku-undeline , kupaka rangi au kuongeza ukubwa wa maandishi, fanya kama ifuatavyo:

1547576364717.png

KUMBUKA: Maneno unayoweka katikati ya mabano usiache nafasi.
 
Back
Top Bottom