Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwee
wana uzi mpoo
tupoo
Sawa
[ hahahahaaa ][kweli?]
sawasawaNyota unaweka watsup ila jf unaanza na [ b ] usiruke nafasi kisha unaandika maneno utakayo
Umesomeka mkuuSamahani mkuu nimekumbuka. Ukitaka kubold, kuandika italic, ku-undeline , kupaka rangi au kuongeza ukubwa wa maandishi, fanya kama ifuatavyo:
View attachment 995600
KUMBUKA: Maneno unayoweka katikati ya mabano usiache nafasi.